Simba, Yanga Na Azam Kwenye Mtihani Wa Mtihani Wa Mwisho Leo Ligi Kuu Tanzania Bara

LIGI Kuu Tanzania Bara ya msimu wa 2025/26 inafikia tamati leo, huku nyasi za viwanja nane zikitarajiwa kuwaka moto katika mechi za mwisho zitakazoamua hatma ya baadhi ya timu, hasa zile zinazopambana kujinusuru na kushuka daraja. Baada ya miezi kadhaa ya ushindani mkali, pazia la msimu linashushwa leo Jumanne, Juni 30, kwa michezo yote nane […]

The post Simba, Yanga Na Azam Kwenye Mtihani Wa Mtihani Wa Mwisho Leo Ligi Kuu Tanzania Bara appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/dvqej5C
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post