Mngqithi Awasili Na Timu Yake, Moalin Yupo Sana

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi muundo wa benchi la ufundi kuelekea msimu wa 2026/27, ukithibitisha kuwa kocha wa muda, Abdihamid Moalin, ataendelea kuwa sehemu ya kikosi hicho kama kocha msaidizi wa pili chini ya kocha mkuu mpya, Manqoba Mngqithi. Akizungumza kuhusu mabadiliko hayo, Msemaji wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe, alisema […]

The post Mngqithi Awasili Na Timu Yake, Moalin Yupo Sana appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/70PNvwT
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post