Chuga Boy Aipa Kisogo KAA Gent, Kisa Mamillion Ya Yanga

KITENDO cha Yanga kuweka mezani dau nono kwa ajili ya kumsajili kiungo wa Fountain Gate FC, Juma Abushiri ‘Chuga Boy’, kimeonekana kubadili mwelekeo wa safari yake ya kwenda kufanya majaribio katika klabu ya KAA Gent ya Ubelgiji. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamepiga hatua kubwa katika harakati za kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu […]

The post Chuga Boy Aipa Kisogo KAA Gent, Kisa Mamillion Ya Yanga appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/GAgFrML
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post