Mngqithi Atua Bongo, Yanga Kujichimbia Avic Town Kuiwinda Simba Ngao ya Jamii.

Shauku ya mashabiki wa Yanga SC kutaka kuona kikosi chao kipya cha msimu ujao inakaribia kutimia, kwani klabu hiyo imetangaza rasmi kuanza maandalizi yake siku ya Jumatatu, Julai 20, 2026. Kuelekea kambi hiyo, kocha mkuu mpya wa Wananchi, Manqoba Mngqithi, alitarajiwa kutua nchini usiku wa kuamkia leo akitokea nchini kwao Afrika Kusini. Mngqithi anawasili akiambatana […]

The post Mngqithi Atua Bongo, Yanga Kujichimbia Avic Town Kuiwinda Simba Ngao ya Jamii. appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/ITU4s8L
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post