Kamwe avunja ukimya, afichua siri ya Mabilioni yaliyomwagwa Yanga

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa umewekeza fedha nyingi katika dirisha hili la usajili kwa lengo la kujenga kikosi imara kitakachotetea mafanikio ya msimu uliopita na kufanya vizuri zaidi katika mashindano ya ndani na kimataifa. Msemaji wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ali Kamwe, amesema uongozi umelazimika kutumia fedha nyingi kuwasajili wachezaji […]

The post Kamwe avunja ukimya, afichua siri ya Mabilioni yaliyomwagwa Yanga appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/SaOJoyT
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post