RABAT, MOROCCO: KLABU ya AS FAR ya Morocco imemtangaza rasmi aliyekuwa kocha wa Yanga, Mreno, Pedro Goncalves, kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Alexandre Santos aliyeondolewa mwishoni mwa msimu uliopita. AS FAR imefikia uamuzi huo baada ya kutoridhishwa na matokeo ya msimu wa 2025/26, ambapo Santos alishindwa kuiongoza timu kutwaa ubingwa […]
The post Kocha Wa Yanga Atua AS FAR appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/gTBEUdJ
via IFTTT
Post a Comment