Ligi Kuu Bara Kuanza Agosti 14

WAKATI ikisubiriwa ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2026-2027 itangazwe ili kila timu ifahamu inaanzia wapi, taarifa kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) zinasema ligi hiyo inatarajiwa kuanza Agosti 14, 2026. Soka La Bongo limepata taarifa za ndani kutoka TPLB kwamba, hivi karibuni kalenda ya matukio kwa msimu wa 2026-2027, ikiashiria […]

The post Ligi Kuu Bara Kuanza Agosti 14 appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/mRtr2Ov
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post