KIUNGO mshambuliaji wa Al Hilal, Jean Claude Girumugisha, anatajwa kuwa mbioni kuondoka katika klabu hiyo baada ya kupokea ofa nono kutoka klabu ambayo bado haijawekwa wazi. Taarifa zinaeleza kuwa Girumugisha ni miongoni mwa wachezaji wanaowindwa na Yanga katika dirisha kubwa la usajili, huku mabingwa hao wakitaka kuimarisha kikosi chao kwa ajili ya msimu wa 2026/27. […]
The post Girumugisha Aibua Vita ya Usajili, Yanga Yafuatilia Kwa Karibu appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/7JiTKoI
via IFTTT
Post a Comment