Licha ya Mtibwa Sugar kushuka daraja msimu wa 2025-2026, wachezaji wa kikosi hicho wamegeuka lulu sokoni. Klabu mbalimbali za Ligi Kuu Bara zinapigana vikumbo kuwania saini zao kutokana na viwango bora walivyoonyesha msimu uliopita. Katika msimu wa 2025-2026, wakata miwa hao wa Turiani walishuka daraja kwenda Ligi ya Championship baada ya kumaliza nafasi ya 15 […]
The post Fredrick Magata Na Mastaa Wa Mtibwa Sugar Wavamia Ligi Kuu appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/oYZyaDm
via IFTTT
Post a Comment