Azam Wavunja Ukimya, Sababu Ya Kususia Medali Fainali

MMILIKI wa Azam FC, Jamal Bakhresa, ameibua mjadala mkubwa baada ya kuikosoa timu ya waamuzi kufuatia kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Simba SC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB. Mchezo huo wa fainali ya CRDB Federation Cup ulipigwa katika dimba la Gombani, Pemba, na kushuhudia Simba wakitwaa ushindi mwembamba baada ya beki […]

The post Azam Wavunja Ukimya, Sababu Ya Kususia Medali Fainali appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/3aAms7K
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post