Macho na masikio ya wapenzi na mashabiki wa Simba leo yanaelekezwa kisiwani Pemba ambako mchezo wa fainali ya kombe la CRDB kati ya Simba dhidi ya Azam Fc utapigwa uwanja wa Gombani.
Huu ndio mchezo wa kufunga msimu wa mashindano 2025/26 Simba ikishuka dimba la Gombani kusaka taji lake la pili msimu huu.
Ni fainali inayokutanisha timu bora, takribani timu 97 zimeshiriki michuano ya CRDB msimu huu lakini ni Simba na Azam Fc pekee zilizofanikiwa kufika hatua ya mwisho.
Utakuwa mchezo mgumu wenye upinzani mkali, kila mara Simba inapokutana na Azam Fc katika Mzizima Derby, hakuna urahisi.
Usikose kuitazama live mechi hii kupitia simu yako download app yetu
Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa
Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA

Post a Comment