YANGA YAPIGA HODI KWA BEKI HATARI IVORY COAST

KATIKA kuhakikisha wanaimarisha safu ya ulinzi kuelekea msimu ujao, uongozi wa Yanga umeanza hatua za awali za kutafuta mbadala wa beki wao wa kushoto, Chadrack Boka, ambaye anatarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa macho ya Yanga yameelekezwa kwa beki wa kushoto wa Mouna FC ya Ivory Coast, […]

The post YANGA YAPIGA HODI KWA BEKI HATARI IVORY COAST appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/Mgopm2S
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post