WINGA wa Azam FC raia wa Senegal, Pape Doudou Diallo amerejea tena ndani ya kikosi hicho baada ya mkataba wake wa mkopo na Shabana FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya kumalizika, huku hatima yake ikibakia mikononi mwa Kocha, Florent Ibenge. Nyota huyo alijiunga na Shabana FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya katika dirisha dogo la […]
The post JINA LA MSENEGAL MEZANI KWA IBENGE appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/nGbqApJ
via IFTTT
Post a Comment