SAHAU kilichotokea Mwanza saa 70, zilizopita leo ni hadithi mpya kabisa kwa kocha Abdihamid Moallin wa Yanga anajua hatma ya ubingwa ipo mikononi wa Florent Ibenge wa Azam kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kocha Moallin alishuhudia Yanga ikipokwa ubingwa wa Kombe la CRDB baada ya kuchapwa mabao 3-2 na Azam, ndani ya siku moja anapata […]
The post YANGA vs AZAM….USHINDI UPO HAPA LEO…ATAKAYEWAHI KAWAHI… appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/1LF72c3
via IFTTT
Post a Comment