Leo Jumatano, Wananchi Yanga watashuka dimba la New Amaan Complex kuikabili Azam Fc kwenye mchezo muhimu wa ligi kuu ya NBC saa kumi kamili jioni.
Mchezo huu ni kama fainali, Yanga inahitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea ubingwa kwa msimu wa tano mfululizo.
Ni mtanange unaotizamwa kwa jicho tofauti kwani unaweza kuamua mbio za ubingwa mapema.
Usikose kuitazama live kupitia simu yako kupitia app yetu
Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa
Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA

Post a Comment