USHINDANI wa kuwania kiatu cha ufungaji bora katika NBC Premier League msimu wa 2025/26 umeanza kupamba moto mapema, huku washambuliaji mbalimbali wakionyesha makali yao tangu hatua za mwanzo za ligi. Baada ya michezo ya awali, mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum, ameibuka kinara wa orodha ya wafungaji akiwa ametikisa nyavu mara 15 na kujijengea nafasi […]
The post VITA YA KIATU CHA DHAHABU YAPAMBA MOTO, FEISAL ASHIKA KOO appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/TKlaNOA
via IFTTT
Post a Comment