Simba vs Azam : Kauli ya Magori Juu ya Fainali ya CRDB Kupigwa Pemba

MASHABIKI wa Simba ni kama wanaonekana hawajafurahishwa na hatua ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kupelekwa Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba wakipiga kelele mitandaoni juu ya ugumu wa kufika huko, lakini uongozi wa klabu hiyo umetoa tamko. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Juni 25 mwaka huu lilitangaza Uwanja wa Gombani kuwa […]

The post Simba vs Azam : Kauli ya Magori Juu ya Fainali ya CRDB Kupigwa Pemba appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/ijqsg7R
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post