Barker Amtaka Jabaar Kuimarisha Safu Ya Kiungo Simba

KATIKA harakati za kuunda kikosi imara kwa ajili ya msimu wa 2026/27, uongozi wa Simba SC unaendelea kufanya kazi kwa karibu na benchi la ufundi, huku Kocha Mkuu Steve Barker akitajwa kupendekeza usajili wa kiungo mkabaji wa Nigeria, Ibraheem Jabaar, ili kuongeza nguvu katika eneo la kiungo. Jabaar kwa sasa ni mchezaji huru baada ya […]

The post Barker Amtaka Jabaar Kuimarisha Safu Ya Kiungo Simba appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/OiPBDVv
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post