MECHI YA AZAM FC YABEBA HATMA YA MSIMU WA YANGA

MSEMAJI wa Yanga, Ali Kamwe, amesema kwa sasa nguvu zote za klabu hiyo zimeelekezwa katika michezo mitatu iliyosalia ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku lengo kubwa likiwa ni kuhakikisha timu inamaliza msimu kwa mafanikio na kutetea ubingwa wake. Kamwe amesema kila mchezo uliobaki una umuhimu mkubwa kwa Yanga na hakuna nafasi ya kufanya makosa, kwani […]

The post MECHI YA AZAM FC YABEBA HATMA YA MSIMU WA YANGA appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/nA7w3dL
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post