KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Himid Mao baada ya kusaini mkataba mpya wa mwaka mmoja, ames-ema matarajio yake msimu ujao ni kuongeza juhudi zaidi ili kuhakikisha kiwango chake kinaendelea kuwa bora. Mao aliyefunga bao moja katika ushindi wao 3-2 dhidi ya Yanga katika nusu fainali ya Kombe la CRDB, alisema kiwango alichokionyesha msimu huu kimeonekana […]
The post MAO AWEKA MALENGO MAKUBWA AZAM FC appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/yFXTEP6
via IFTTT
Post a Comment