EVALISTO AKIRI UGUMU MISRI

KIUNGO mshambuliaji wa Mtanzania anayekipiga Fouad FC ya Misri, Oscar Evalisto, amesema msimu uliomalizika haukuwa wa mzuri kwake baada ya kushindwa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara tangu alipojiunga na klabu hiyo akitokea Makadi FC, timu inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu nchini humo. Oscar amekiri kuwa ushindani mkubwa ndani ya kikosi umemfanya ashindwe kuwa […]

The post EVALISTO AKIRI UGUMU MISRI appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/lguVmL2
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post