MABOSI wa Azam FC wamehamishia nguvu zao katika kuimarisha safu ya ulinzi baada ya kuanza mazungumzo ya kumsajili beki wa kati wa Union Maniema, Jeancy Mpindi Mukuene, ambaye pia anawaniwa na FC Lupopo. Azam ipo kwenye harakati za kuendelea kukiboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, huku ikiendeleza mawasiliano na klabu mbalimbali, ikiwemo Union […]
The post AZAM FC, LUPOPO ZAMSAKA BEKI MKONGO appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/FSt1vqI
via IFTTT
Post a Comment