Nilivyorejesha Heshima Kwenye Ndoa Yangu Baada ya Mke Wangu Kuanza Kunidharau Mbele ya Watoto na Wageni

Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ningefika hatua ya kuogopa hata kuzungumza ndani ya nyumba yangu mwenyewe.

Mwanzoni ndoa yetu ilikuwa nzuri. Tuliheshimiana, tulishauriana, na hata watoto walikuwa wanaona upendo kati yetu. Lakini polepole mambo yalianza kubadilika.

Mke wangu alianza kunijibu kwa ukali mbele ya watoto. Mwanzoni nilipuuzia nikidhani labda alikuwa anapitia msongo wa mawazo au uchovu wa kawaida.

Lakini kadri muda ulivyopita, hali ilizidi kuwa mbaya. Alianza kunikosoa mbele ya wageni. Wakati mwingine niliposema jambo, alikuwa anakata kauli yangu katikati na kuniambia nimekosea mbele ya watu wote.

Wageni walikuwa wanacheka kwa aibu, watoto wakinyamaza, na mimi nikibaki nimeumia ndani kwa ndani. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba hata watoto wangu walianza kubadilika. 

Nilianza kuona baadhi yao wakijibu kwa namna ambayo hawakuwahi kufanya zamani. Ndipo nilipoanza kugundua kuwa walikuwa wanaiga kile walichokuwa wanaona nyumbani.

Nilijaribu kuzungumza na mke wangu kwa utulivu mara kadhaa, lakini kila mazungumzo yaliishia kwenye mabishano makubwa. 

Mara nyingine nilinyamaza ili kuepuka ugomvi, lakini hali haikubadilika. Polepole nilianza kupoteza furaha ya kurudi nyumbani.

Nilikuwa nikibaki kazini hadi kuchelewa kwa sababu sikuwa natamani kukutana na mazingira yale yale ya maneno makali na kudharauliwa kila siku.

Ilifika hatua nikaanza kuhofia ndoa yetu ingeisha vibaya. Usiku mmoja baada ya mabishano makubwa mbele ya watoto, nilikaa peke yangu nikijiuliza ni wapi mambo yaliharibikia.SOMA ZAIDI...........................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post