Nyumba yetu ilikuwa sehemu ya furaha kwa muda mrefu. Watoto walicheza kwa amani, tulikuwa tunacheka pamoja jioni, na kila mmoja alikuwa anafurahia kuwa nyumbani.
Lakini ghafla hali ilianza kubadilika kwa namna ambayo sikuwahi kuelewa. Ilianza taratibu.
Usiku mmoja nilisikia sauti za hatua kana kwamba mtu anatembea sebuleni usiku wa manane. Mwanzoni nilidhani labda ni upepo au jirani akifanya shughuli zake nje.
Usiku mmoja nilisikia sauti za hatua kana kwamba mtu anatembea sebuleni usiku wa manane. Mwanzoni nilidhani labda ni upepo au jirani akifanya shughuli zake nje.
Lakini sauti zile zilianza kujirudia karibu kila usiku. Nilianza kuamka katikati ya usiku nikisikiliza kwa makini.
Mara nyingine nilitoka chumbani kuangalia, lakini sikuwa nakuta mtu yeyote. Milango ilikuwa imefungwa vizuri, madirisha pia yalikuwa sawa.
Mara nyingine nilitoka chumbani kuangalia, lakini sikuwa nakuta mtu yeyote. Milango ilikuwa imefungwa vizuri, madirisha pia yalikuwa sawa.
Nilijaribu kujituliza nikiamini labda ni mawazo tu. Lakini hali ilipoendelea, watoto wangu wakaanza kubadilika.
Mmoja wao alianza kuogopa kulala peke yake. Mwingine alikuwa anaamka usiku akilia na kusema anaogopa kwenda chumbani kwake.
Mmoja wao alianza kuogopa kulala peke yake. Mwingine alikuwa anaamka usiku akilia na kusema anaogopa kwenda chumbani kwake.
Ilifika hatua walikuwa wanakataa hata kuzima taa usiku. Kilichoniumiza zaidi ni kuona nyumba ambayo zamani ilikuwa ya furaha ikianza kujawa na hofu na wasiwasi.
Hata mimi nilianza kuogopa kukaa peke yangu usiku. Nilijaribu kubadilisha mazingira ya nyumba, kuongea na watoto ili wasiwe na hofu, lakini hali haikubadilika.
Hata mimi nilianza kuogopa kukaa peke yangu usiku. Nilijaribu kubadilisha mazingira ya nyumba, kuongea na watoto ili wasiwe na hofu, lakini hali haikubadilika.
Kadri siku zilivyopita, usingizi wetu wote ulianza kuharibika. Usiku mmoja baada ya watoto kuamka kwa hofu kubwa sana, nilihisi nimefika mwisho wa uvumilivu.SOMA ZAIDI................................
Post a Comment