Nilivyopata Wapangaji Wazuri Baada ya Nyumba Zangu Kukaa Tupu na Wengine Kuharibu Mali Kila Mara

Kwa muda mrefu nilikuwa naamini kuwa kujenga nyumba za kupangisha kungekuwa mwanzo wa maisha mazuri kwangu. 

Nilikuwa nimewekeza pesa nyingi sana kwenye viwanja na ujenzi kwa matumaini kuwa kodi ya kila mwezi ingenisaidia kulea familia na kupata utulivu wa kifedha.

Mwanzoni mambo yalionekana kwenda vizuri.
Nilipata wapangaji wa kwanza haraka, na nilikuwa na matumaini makubwa. Lakini kadri muda ulivyopita, changamoto zilianza kujitokeza moja baada ya nyingine. Baadhi ya wapangaji walikuwa hawalipi kodi kwa wakati.

Wengine walikuwa wanaharibu nyumba vibaya kiasi cha kuniacha na gharama kubwa za ukarabati. Kulikuwa hata na waliokuwa wanaondoka usiku bila taarifa, wakiniacha na madeni ya maji na umeme. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba baadhi ya nyumba zilianza kukaa tupu kwa miezi mingi.

Nilikuwa natangaza kila mahali, lakini watu walikuwa wanakuja kuangalia nyumba na kuondoka bila kurudi. Wakati mwingine nilipata mpangaji, lakini baada ya muda mfupi matatizo yalikuwa yale yale. Madeni yalianza kunisumbua.

Nilikuwa nimechukua mkopo wa kukamilisha ujenzi, na kila mwezi nilikuwa na pressure ya malipo huku nyumba zingine zikiwa tupu. Ilifika hatua nikaanza kujutia hata uamuzi wa kujenga.SOMA ZAIDI..........................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post