Ndoto yangu kubwa tangu nikiwa mdogo ilikuwa kusoma nje ya nchi. Nilikuwa naamini elimu ingeweza kubadilisha maisha yangu na ya familia yangu.
Kila mara nilikuwa nikisoma kwa bidii nikijua siku moja ningepata nafasi ya kusoma kwenye chuo kizuri na kujenga maisha bora ya baadaye.
Lakini safari haikuwa rahisi kama nilivyotarajia. Baada ya kumaliza masomo yangu, nilianza kutafuta scholarship mbalimbali. Kila nilipoona nafasi ya application, nilikuwa natuma maombi kwa matumaini makubwa.
Nilikuwa naamka usiku kurekebisha documents, kuandika essays, na kuhakikisha kila kitu kiko sawa. Mwanzoni nilikuwa na confidence kubwa.
Lakini baada ya miezi kadhaa, nilianza kupokea rejection emails moja baada ya nyingine. Mara waliandika sikuchaguliwa. Mara walidai ushindani ulikuwa mkubwa. Kwa kweli iliniumiza sana.
Kilichoniumiza zaidi ni maneno ya baadhi ya watu wa karibu. Wengine waliniambia scholarship kubwa hupatikana kwa watu wenye connections au pesa nyingi. Wengine waliniambia niache kupoteza muda kwa sababu nilikuwa najipa matumaini yasiyo na uhakika.
Polepole nilianza kupoteza confidence. Kulikuwa na usiku nilikesha nikijiuliza kama kweli ndoto yangu ilikuwa kubwa sana kwangu. Nilianza hata kuogopa kutuma application mpya kwa sababu niliogopa kukataliwa tena.SOMA ZAIDI.

Post a Comment