Kwa miaka mingi nilifanya kazi sehemu moja huku nikihisi kama sionekani kabisa. Nilikuwa nafika mapema kazini, nafanya kazi zangu kwa bidii, na mara nyingi hata kusaidia wengine walipokwama.
Ilifika hatua nikaanza kutafuta kazi nyingine kimya kimya.SOMA ZAIDI.
Lakini cha kushangaza, juhudi zangu hazikuonekana kuwa na maana mbele ya watu wengi. Wafanyakazi wenzangu walikuwa wananicheka kwa siri.
Kila nilipotoa wazo kwenye mikutano, kulikuwa na watu waliolipuuzia au hata kulifanya mzaha. Wakati mwingine nilikuwa naambiwa maneno ya kuniumiza kana kwamba sikuwa na uwezo wowote. Kilichoniumiza zaidi ni namna bosi wangu alivyonichukulia.
Mara nyingi alionekana kuwaamini watu wengine zaidi hata pale nilipokuwa nimefanya kazi kubwa nyuma ya pazia.

Watu niliowafunza kazi walikuwa wanapewa nafasi nzuri kunizidi, na polepole nilianza kujiuliza kama kweli nilikuwa na thamani pale.
Kadri muda ulivyopita, confidence yangu ilianza kushuka. Nilikuwa naingia kazini nikiwa sina morale kabisa.

Wakati mwingine nilijikuta nikinyamaza hata kama nilikuwa na mawazo mazuri kwa sababu nilihofia kuchekwa tena.

Post a Comment