Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilianza kuamini labda mafanikio hayakuwa sehemu ya maisha yangu.
Nilikuwa mtu wa ndoto kubwa. Sikupenda kutegemea watu, na kila mara nilikuwa na hamu ya kujitegemea kupitia biashara.
Nilikuwa naamini nikijituma vya kutosha, maisha yangu yangekuwa bora siku moja. Lakini mambo hayakwenda kama nilivyotarajia.

Biashara yangu ya kwanza ilifeli baada ya miezi michache. Nilikuwa nimewekeza pesa zangu zote, lakini wateja hawakuwa wengi kama nilivyotarajia.
Nilijipa moyo nikisema labda nilikuwa bado najifunza. Nikajaribu tena. Nilifungua biashara nyingine kwa matumaini mapya.

Mwanzoni ilionekana kwenda vizuri, lakini ghafla changamoto zikaanza. Hasara zikafuata, madeni yakaanza kuongezeka, na mwisho nikajikuta nimefunga tena.
Kwa kweli iliniumiza sana. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba kila nilipojaribu kuanza upya, mambo yalionekana kuharibika kabla hata sijafika mbali. Watu wa karibu wakaanza kunitazama tofauti. Baadhi walikuwa wakisema labda biashara si kitu changu.SOMA ZAIDI.

Post a Comment