Nilivyookoa Mtoto Wangu Baada ya Kuugua Mara Kwa Mara na Hospitali Kushindwa Kueleza Tatizo Lilikuwa Nini

Hakuna maumivu makubwa kama kumuona mtoto wako akiwa mgonjwa mara kwa mara bila kuelewa nini hasa kinaendelea. 

Mtoto wangu alikuwa mchangamfu sana alipokuwa mdogo. Alipenda kucheza, kucheka, na alikuwa akileta furaha kubwa nyumbani.

Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika kwa namna ambayo ilinifanya niishi kwa hofu kila siku. Mwanzoni nilidhani ni ugonjwa wa kawaida. 

Alianza kupata homa za mara kwa mara. Wakati mwingine alikuwa sawa kwa siku chache, halafu ghafla anarudi kuwa mgonjwa tena.

Mara anakosa appetite, mara analia sana usiku, mara mwili unakuwa dhaifu bila sababu ya kueleweka. Kwa kweli nilianza kupata wasiwasi mkubwa. 

Nilimpeleka hospitali mara kadhaa. Tulifanya vipimo mbalimbali, tukafuata dawa tulizopewa, na kila nilipoona ameanza kuimarika nilikuwa na matumaini.

Lakini baada ya muda mfupi hali ilikuwa inarudi tena. Kilichoniumiza zaidi ni kuona mtoto wangu akiteseka huku mimi nikijisikia helpless kama mzazi. 

Kulikuwa na usiku nilikesha karibu naye nikimuangalia tu akiwa amelala, nikihofia hali yake ingekuwa mbaya zaidi.

Familia yangu nayo ilianza kuwa na mawazo mengi. Wengine walikuwa wakinishauri nibadilishe hospitali. Wengine waliniambia nivumilie tu. 

Lakini moyoni nilikuwa nimechoka emotionally na financially kutokana na visits za hospitali za mara kwa mara.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post