Nilivyofanikiwa Kupata Mkopo Niliohitaji Baada ya Kunyimwa Mara Nne na Kukaribia Kufunga Kila Mpango

Kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kupanua maisha yangu na kutoka kwenye hali ngumu ya kifedha. Nilikuwa na mpango mzuri wa biashara ambao niliamini ungeweza kubadilisha maisha yangu pamoja na familia yangu. 

Tatizo kubwa lilikuwa moja tu mtaji. Nilikuwa nimejaribu kuweka akiba kwa muda mrefu, lakini fedha nilizokuwa nazo hazikutosha kuanzisha kile nilichotaka.

Ndipo nikaanza kufikiria kuchukua mkopo.
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa.

Niliandaa documents zote nilizohitaji, nikajaza forms, na kwenda kwa taasisi ya kwanza nikiwa na confidence kuwa mambo yangeenda sawa. 

Lakini baada ya siku kadhaa za kusubiri, nilikataliwa. Nilijipa moyo nikasema labda haikuwa sehemu sahihi.

Nikajaribu tena sehemu nyingine. Mara ya pili pia nikakataliwa. Mara ya tatu nikaanza kuingiwa na hofu. Kufikia mara ya nne, nilihisi kabisa kama kila mlango ulikuwa umefungwa mbele yangu. 

Kilichoniumiza zaidi ni kuona mipango yangu yote ikianza kusimama. Nilikuwa tayari nimeanza hata kupanga biashara ningefungua, lakini sasa kila kitu kilionekana kama ndoto inayozidi kuwa mbali.

Watu wengine walinicheka. Baadhi waliniambia niache kupoteza muda na nikubali maisha yalivyo. Polepole nilianza kupoteza confidence yangu. 

Ilifika hatua nikakaribia kuacha kabisa kila mpango niliokuwa nao. Siku moja nikiwa nimevunjika moyo sana, nilimweleza rafiki yangu hali yangu. SOMA ZAIDI................................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post