Ikumbukwe kwamba Nigeria haitashiriki Kombe la Dunia 2026 kwa mara ya kwanza tangu 2006, baada ya kupoteza kwa penalti dhidi ya DR Congo. Jeraha hilo bado linauma, na mechi ya leo dhidi ya Zimbabwe ni sehemu ya ‘mchakato wa uponyaji’ kwa Super Eagles. Kocha Chelle Eric atatumia mechi hizi za kirafiki kujenga kikosi kipya kisichobeba […]
The post NIGERIA KITEST MITAMBO DHIDI YA ZIMBABWE MECHI ZA KIRAFIKI appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/1PtQeJE
via IFTTT
Post a Comment