Nilivyorejesha Nguvu Zangu Baada ya Uchovu Usioisha na Kukosa Amani ya Mwili

 

Kwa muda mrefu nilihisi mwili wangu hauko sawa. Nilikuwa na uchovu wa kila siku, hata baada ya kupumzika vya kutosha. 

Nilipoamka asubuhi nilihisi kama sijalala kabisa. Kazi ndogo zilikuwa zinanichosha haraka, na nguvu zangu zilikuwa zinapungua siku hadi siku.

Nilianza kubadili lishe, nikajaribu mazoezi mepesi, na hata kupumzika mapema. Lakini bado hali haikubadilika. 

Wakati mwingine nilihisi kizunguzungu na kukosa hamu ya kufanya chochote. Hali hii ilianza kuathiri kazi yangu na maisha ya nyumbani.SOMA ZAIDI................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post