Nilivyopona Maumivu ya Tumbo Yasiyoeleweka Baada ya Hospitali Kushindwa Kupata Tatizo

 

Maumivu yalianza kama kitu kidogo tu. Tumbo lilikuwa linaniuma mara kwa mara, hasa usiku na asubuhi. 

Mwanzoni nilipuuzia, nikidhani ni chakula au uchovu. Lakini kadri siku zilivyopita, maumivu yalizidi kuwa makali na ya mara kwa mara.

Nilienda hospitali mara kadhaa. Nilifanyiwa vipimo tofauti damu, mkojo, hata scan. Kila mara niliambiwa hakuna tatizo kubwa limeonekana. 

Nilipatiwa dawa za kupunguza maumivu, lakini hazikudumu. Baada ya muda mfupi, hali ilirudi vile vile.

Nilianza kukosa usingizi na hamu ya kula. Kazi zangu zilianza kuathirika kwa sababu sikuwa na nguvu wala utulivu wa akili. Ilikuwa hali ya kuchanganya sana kuumwa lakini hakuna jibu la moja kwa moja.

Baada ya kuchoka na majibu yale yale, niliamua kutafuta mwongozo wa ziada.SOMA ZAIDI...........

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post