Kwa miezi kadhaa, pesa zilikuwa zinapotea kazini kwetu bila maelezo ya kueleweka. Kila siku kulikuwa na upungufu mdogo kwenye mauzo, lakini ukiujumlisha kwa wiki au mwezi, ilikuwa kiasi kikubwa sana. Nilianza kupata mashaka, lakini sikuwa na ushahidi wa moja kwa moja.
Kama msimamizi wa duka, lawama zilianza kunielekea mimi. Wamiliki walitaka majibu, na nilijikuta nikiwa kwenye presha kubwa ya kuthibitisha kuwa sikuwa nahusika.

Nilianza kufuatilia kila kitu kwa makini rekodi za mauzo, mizani ya bidhaa, na hata tabia za wafanyakazi wenzangu.
Licha ya juhudi zote, sikuweza kumpata mhusika. Ilianza kunifanya nihisi kuchanganyikiwa na hata kuogopa kupoteza kazi yangu kwa kosa ambalo sikulifanya. Kila siku nilikuwa naingia kazini na wasiwasi mkubwa.SOMA ZAIDI.................

Post a Comment