Nilivyomrudisha Mtoto Wangu Kwenye Masomo Baada ya Kuathirika na Simu na Marafiki Wabaya

 

Nilianza kugundua mabadiliko kwa mtoto wangu polepole. Alikuwa mtoto mwenye bidii shuleni, lakini ghafla alibadilika.

Alianza kutumia muda mwingi kwenye simu, akipuuza masomo, na alipoenda shule hakufanya vizuri tena. 

Walimu walianza kunilalamikia, na nyumbani pia alikosa heshima na usikivu.

Nilijaribu kumkanya, kumshauri, hata kumdhibiti matumizi ya simu, lakini kila njia ilionekana kushindwa. 

Alianza kukaa nje muda mrefu, akawa na marafiki wapya ambao sikuwajua vizuri. Nilihisi kama namkupoteza taratibu. Iliniumiza sana kuona mtoto niliyemlea kwa upendo akibadilika namna hiyo.

Baada ya kuchoka na hali hiyo, niliamua kutafuta msaada.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post