Crush Wangu Alikuwa Hanitambui Kabisa, Leo Ndiye Anayenitafuta Kila Siku Bila Mimi Kumsukuma

 

Nilikuwa namwona kila siku, lakini kwake mimi sikuwepo.

Nilijaribu kila njia ya kawaida kumjali, kumsaidia, hata kumtafuta kwa mazungumzo madogo madogo lakini hakuwahi kuniona kwa jicho la mapenzi.

Alikuwa ananiita rafiki tu, na hapo ndipo nilijua nimewekwa friendzone kabisa.

Kadri siku zilivyopita, ndivyo moyo wangu ulivyokuwa unazidi kuumia. Nilianza kujilaumu, nikijiuliza kama kuna kitu kinanikosea. 

Nilijaribu kujiondoa ili nisiumie zaidi, lakini kila nilipomwona, hisia zilirudi upya. Ilifika hatua nikahisi nimechoka kabisa na hali hiyo.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post