Mimi nilikuwa naishi na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu sana. Kila siku nilikuwa naanza siku nikiwa sijisikii vizuri, na wakati mwingine maumivu yalikuwa yanazidi baada ya kula.
Ilifika wakati nilianza kuogopa hata kula chakula kwa sababu sikujua kama nitapata maumivu tena.
Hali hii ilinifanya nipungue nguvu na hata uzito wangu ukaanza kushuka.
Nilitembelea vituo vya afya mara kadhaa, nikapewa dawa tofauti, lakini nafuu ilikuwa ya muda mfupi tu. Baada ya muda maumivu yalirudi tena kama kawaida.
Hali hii ilinichosha sana. Nilianza kukata tamaa na kuona kama nitakuwa na tatizo hili maisha yangu yote. Siku moja nilimweleza rafiki yangu wa karibu hali yangu.SOMA ZAIDI.

Post a Comment