Nilivyogundua Sababu ya Mahusiano Yangu Kuvunjika Kila Mara na Kurekebisha Makosa

 

Mimi nilikuwa na historia ya mahusiano yasiyo dumu. Kila nilipoanza uhusiano mpya, ulianza kwa furaha, lakini baada ya muda mfupi mambo yaliharibika na kuisha. 

Mwanzoni nilikuwa nadhani labda sina bahati kwenye mapenzi. Lakini kadri ilivyojirudia, nilianza kuona kuna kitu kinaendelea ambacho sikielewi.

Nilijaribu kubadilisha tabia zangu peke yangu, lakini bado hali ilijirudia. Nilikuwa naingia kwenye mahusiano na matumaini, lakini mwisho wake ulikuwa uleule wa maumivu. Siku moja nilimweleza rafiki yangu wa karibu changamoto yangu.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post