Nilivyogundua Ukweli Baada ya Kusingiziwa Kosa Kazini

 

Naitwa Peter kutoka Nairobi. Nilikuwa nafanya kazi katika kampuni moja kwa bidii na uaminifu mkubwa kwa miaka kadhaa bila matatizo yoyote. 

Siku moja mambo yalibadilika ghafla. Nilianza kusingiziwa kosa ambalo sikuwa na uhusiano nalo kabisa.

Ilidaiwa kuwa kulikuwa na upotevu wa mali kazini, na bila ushahidi wa moja kwa moja, macho yote yalielekezwa kwangu. 

Hali hiyo ilinichanganya sana. Wenzangu walianza kunitazama tofauti, na hata viongozi wangu walionekana kupoteza imani nami.

Nilihisi kudhalilika na kukosa haki.
Nilijaribu kujitetea mara kadhaa, lakini hakuna aliyekuwa tayari kunisikiliza kikamilifu. Kadri siku zilivyopita, presha iliongezeka na nilianza kuhisi kama kazi yangu iko hatarini.

Katika hali hiyo, nilimweleza rafiki yangu wa karibu changamoto yangu.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post