Nilivyofanikiwa Kufungua Biashara Mpya Baada ya Kufilisika Mara Mbili Mfululizo

 

Nilikuwa nimepitia vipindi viwili vigumu sana maishani mwangu vya kufilisika. Kila nilichojaribu kukifanya kilikuwa kinaishia kuporomoka biashara ya kwanza ilifungwa baada ya mauzo kushuka ghafla, na ya pili ikaanguka kutokana na madeni na gharama zisizotarajiwa.

Nilijikuta niko chini kabisa kiakili na kifedha. Nilianza kuogopa kuanza tena, kwa sababu kila nilipofikiria biashara, nilikumbuka maumivu ya kushindwa. 

Hata watu wa karibu walinishauri nipumzike kwanza kabla ya kujaribu tena. Lakini ndani yangu bado kulikuwa na hamu ya kusimama tena.

Nilianza kutafakari makosa yangu na kujaribu kuelewa ni wapi nilikosea, lakini bado sikuwa na mwelekeo wazi wa kuanzia upya. Baada ya muda, niliamua kutafuta mwongozo wa ziada.SOMA ZAIDI.............

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post