Nilijifungia chumbani kufanya forex live, asubuhi nikaamka billionaire

 

Siku hiyo nilikuwa nimechoka kabisa na maisha ya kawaida. Nilikuwa nimejaribu kazi nyingi bila mafanikio makubwa, na kila siku nilikuwa naishi kwa pressure ya pesa. Ndipo nikaamua kujaribu forex trading, kitu ambacho nilikuwa nasikia watu wakipata pesa nyingi nacho.

Usiku huo, nilijifungia chumbani nikiwa na laptop yangu. Nilikuwa nimejifunza basics kidogo, lakini sikuwa expert. Nilijiambia “let me try one last time.” Nilianza kufanya trading live, nikifuatilia charts kwa makini.

Mwanzoni, nilipoteza kidogo. Lakini ghafla, market ilianza ku-move kwa direction ambayo sikuwa nimewahi kuona. Trades zangu zikaanza kuingia profit moja baada ya nyingine. Nilishangaa, lakini niliendelea.

Nilikaa usiku mzima bila kulala. Kila nilipofunga trade, profit ilikuwa inaongezeka. Ilikuwa kama dream, lakini ilikuwa real. Nilikuwa na adrenaline kubwa sana.

Asubuhi ilipofika, niliangalia account yangu na nikabaki speechless. Nilikuwa nimepata pesa nyingi kuliko nilivyowahi kuona maishani. Ilikuwa life-changing moment.SOMA ZAIDI.............

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post