Taharuki Nakuru baada ya mwanaume aliyedaiwa kuiba pesa kazini kukiri ukweli wake hadharani baada ya kufanyiwa tiba maalum

 

Tuhuma zilizotikisa kampuni

Kulikuwa na hali ya sintofahamu katika kampuni moja ya usambazaji bidhaa mjini Nakuru baada ya pesa kuanza kupotea mara kwa mara. 

Menejimenti ilifanya uchunguzi wa ndani lakini haikuweza kubaini ni nani aliyekuwa akihusika na upotevu huo wa fedha.

Kwa miezi kadhaa, wafanyakazi walikuwa wakilaumiana huku mazingira ya kazi yakizidi kuwa mabaya. Baadhi ya wafanyakazi walihofia kupoteza ajira zao kutokana na tuhuma hizo.

Meneja wa kampuni hiyo alisema waliamua kutafuta suluhisho tofauti baada ya jitihada zao za awali kushindwa kufichua ukweli.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post