Biashara ilipoanza kuporomoka
Otieno Omondi, mfanyabiashara mdogo wa vifaa vya umeme mjini Kisumu, anasema maisha yake yalibadilika ghafla baada ya biashara yake kuanza kudorora. Kwa zaidi ya miaka miwili, alikopa pesa ili kuendeleza duka lake akiamini hali ingebadilika.
Badala yake, madeni yaliongezeka. Wateja walipungua na baadhi ya bidhaa zilikaa dukani kwa miezi bila kuuzwa. Otieno anasema hali hiyo ilimfanya apoteze matumaini na hata kufikiria kufunga biashara kabisa.
“Nilikuwa nimechoka. Kila siku ilikuwa simu za wadai na mawazo mengi kichwani,” alisema.SOMA ZAIDI.

Post a Comment