Jina langu ni Halima. Mimi ni mama wa watoto wawili kutoka Tanga, na kabla ya kipindi fulani cha maisha yangu, nilikuwa mtu wa kawaida kabisa.
Nilikuwa na maisha ya utulivu na familia yangu ndogo. Mume wangu alikuwa anafanya kazi bandarini na mimi nilikuwa na biashara ndogo ya kuuza vyakula karibu na nyumbani.
Maisha hayakuwa ya kifahari sana, lakini tulikuwa na amani.
Lakini kuna kipindi kilifika ambapo usingizi wangu ulianza kuwa adui yangu mkubwa.
Ndoto Zilianza Ghafla
Mwanzoni sikutilia maanani sana.
Nilianza kuota ndoto za ajabu mara chache tu. Wakati mwingine naota niko mahali ambapo sijawahi kufika. Wakati mwingine naota kuna watu wananifuatilia lakini siwaoni vizuri.
Nilikuwa naamka nikiwa na hofu kidogo, lakini nilikuwa najituliza nikisema labda ni mawazo ya kawaida ya usiku.SOMA ZAIDI...............

Post a Comment