Jina langu ni Diana. Mimi ni msichana wa miaka 27 kutoka Dar es Salaam. Kabla ya tukio moja lililotokea miaka miwili iliyopita, nilikuwa naishi maisha yangu ya kawaida kabisa.
Nilikuwa nafanya kazi saluni ya nywele pale Kariakoo na sikuwa na drama kubwa sana katika maisha yangu.
Lakini kuna siku moja ilikuja kunifundisha somo kubwa sana kuhusu maisha, mapenzi na maamuzi.
Na mpaka leo nikilikumbuka, wakati mwingine nacheka peke yangu.
Mwanaume Aliyeingia Maishani Mwangu
Nilimfahamu mwanaume mmoja aliyekuwa anakuja mara kwa mara saluni yetu kunyoa. Alikuwa mtu mtulivu sana, mwenye maneno mazuri na aliyekuwa anajua kuzungumza kwa heshima.
Mara ya kwanza tulizungumza kama mteja na mfanyakazi tu.
Lakini kadri siku zilivyopita alianza kuzungumza zaidi. Wakati mwingine alikuwa anakuja saluni hata kama hahitaji huduma yoyote, anakuja tu kukaa na kuzungumza.
Baadaye alianza kunieleza kuwa ananipenda.Soma Zaidi.

Post a Comment