Changamoto ya kukataliwa mara kwa mara
Purity Chepkemoi, mkazi wa Nakuru, anasema kwa muda mrefu alikuwa akipitia changamoto ya kukataliwa katika mahusiano.
Kila alipoanza uhusiano mpya, mambo yalionekana kwenda vizuri mwanzoni lakini ghafla mwanaume alibadilika na kuondoka bila sababu ya wazi.
Kwa mujibu wake, hali hiyo ilijirudia mara kadhaa hadi akaanza kujiuliza kama kulikuwa na kitu kisichoeleweka katika maisha yake. Marafiki zake wengi walikuwa tayari wameolewa, jambo lililomfanya ajihisi nyuma kimaisha.
“Nilikuwa najiuliza kwa nini kila ninapopata mtu mambo yanaharibika ghafla,” alisema Purity.
Hali hiyo ilimfanya kupoteza kujiamini na hata kuanza kuepuka mahusiano mapya kwa hofu ya kuumizwa tena.Soma Zaidi.

Post a Comment