Jina langu ni Fatuma, natokea mkoani Kigoma, wilaya ya Kasulu. Katika mtaa wetu, nilianza kupata sifa mbaya sana baada ya mume wangu kuanza kunitolea maneno ya kashfa kuwa mimi nina “uchawi wa sumu” kitandani.
Hii ilitokana na mimi kupoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa na kuwa mkavu kiasi cha kusababisha michubuko na maumivu kwa mume wangu kila tulipojaribu kushiriki unyumba.
Mume wangu alikuwa akisema nikimgusa anajisikia kuungua, hivyo akadhani nimemtegea mitego ya kishirikina ili kumkomoa.
Hali hii ilinitoa machozi sana kwani mimi nilimupenda sana mume wangu. Tulitembea kwa waganga wengi wa kienyeji hapa Kigoma na hata kule Burundi tukitafuta dawa ya “kunifungua”, nikiamini nimerogwa kweli.

Kila mganga alichukua pesa zangu na kunipa madawa ya ajabu ya kuoga na kunywa ambayo hayakunisaidia kitu.
Nilikuwa najihisi mnyonge na mwanamke aliyelaaniwa ndani ya nyumba yangu. Mume wangu alianza kulala sebuleni na hata kula chakula chake nje, akidai naogopa nimemuekea sumu kwenye chakula pia.
Katika kutaabika huko, nilikutana na mwanamke mmoja aliyehamia mtaani kwetu akitokea mkoani Mwanza.SOMA ZAIDI.................................................
Katika kutaabika huko, nilikutana na mwanamke mmoja aliyehamia mtaani kwetu akitokea mkoani Mwanza.SOMA ZAIDI.................................................
Post a Comment