Katika kuonesha upendo wa dhati kwa jamii, Meridianbet imefanya tendo la kipekee kwa kutoa msaada wa vifaa vya usafi kwa wagonjwa mbalimbali hospitali ya Mwananyamala. Hatua hii imeleta faraja kubwa kwa wagonjwa hao katika kipindi hiki cha kuumwa, ikiakisi dhamira ya kampuni hiyo kugusa maisha ya watu kwa vitendo.
Akizungumza wakati wa tukio hilo, mwakilishi wa Meridianbet, Nancy Ingram, alifafanua kuwa msaada huo ni sehemu ya juhudi endelevu za kampuni kurejesha kwa jamii kupitia mpango wake wa uwajibikaji kwa jamii (CSR). Alisisitiza kuwa Meridianbet inaamini kuwa furaha ya jamii ndiyo msingi wa mafanikio ya kweli ya kampuni.
Vilevile, Michezo mingi zaidi ya kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa kupiga *149*10#.
Wagonjwa walionufaika walieleza hisia zao za shukrani kwa msaada huo, wakisema umewapa nguvu na faraja katika kipindi hiki. Walisema kuwa si kawaida kwa kampuni kukumbuka kundi hili muhimu, na wakaomba mashirika mengine kujifunza kutoka kwa Meridianbet ili kusaidia jamii kwa vitendo.
Kupitia matukio kama haya, Meridianbet inaendelea kujitofautisha kama zaidi ya kampuni ya burudani ya kubashiri, ni mdau anayejali ustawi wa jamii. Uwepo wake unaendelea kuleta athari chanya, huku ukijenga daraja la kuaminiana na wateja wake kote nchini.
Endelea kufurahia ushindi na odds kali kutoka Meridianbet huku ukijua kuwa kila hatua unayochukua inaunga mkono juhudi za kusaidia jamii. Meridianbet si tu kuhusu kubashiri bali ni kuhusu kugusa maisha na kuleta mabadiliko halisi
The post MERIDIANBET YAENDELEA KUJITOA KWA JAMII, YAWAKUMBUKA WALIOPO HOSPITALINI appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/OG7QSaV
via IFTTT
Post a Comment