Ayedaiwa Kuwa na “Nuksi ya Chumbani”, Apata Uponyaji Wake!

Mtaani kulienea tetesi za chinichini kuwa mwanamke mmoja aliyeitwa Sophia ana nuksi ya ajabu kwasababu kila mume anayemuoa anamwacha baada ya mwaka mmoja tu wa ndoa. 

Siri ambayo watu hawakuijua ni kwamba Sophia alikuwa na tatizo la ukavu uliokithiri ambao uliwafanya wanaume wakimbie maumivu na “msuguano” wa chumbani.

Sophia alijihisi mnyonge na alifikia hatua ya kutaka kujiua akiamini naye nimerogwa na ndugu zake wa upande wa baba wasiopenda aolewe na kupata maisha mazuri.

Sophia alikuwa mrembo sana wa sura na umbo, lakini chumbani alikuwa “jangwa la sahara” lisilo na tone la maji. 

Thamani yake mtaani ilianza kushuka na watu wakaanza kumuogopa kama mwanamke mwenye laana au mikosi inayofukuza wanaume.

Sophia alijaribu kila njia, kuanzia kunywa maji mengi kupitiliza mpaka kutumia dawa za kienyeji za mitaani ambazo hazikuwa na vibali, lakini hali ilizidi kuwa mbaya. 

Alikuwa akilia kila usiku akijiuliza kwanini yeye tu ndiye ana tatizo hilo lililokuwa linamnyima raha ya maisha.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post