Naitwa Brenda, mkazi wa mkoa wa Arusha. Mimi ni mwanamke mjasiriamali ninayemiliki maduka kadhaa ya utalii, lakini mafanikio yangu ya kifedha yalikuwa chungu kwangu.
Kwa miaka kumi na moja ya ndoa, sikuwa nimefanikiwa kubeba hata ujauzito mmoja uliotoka (miscarriage), achilia mbali wa kuzaliwa.
Majirani na hata baadhi ya wafanyakazi wangu walianza kunisema kwa siri kuwa huenda niliolewa na “jini la mali” ambalo linazuia mimi nisizae ili nishindwe kuacha mrithi.
Maneno hayo yalinifanya niwe mnyonge na nianze kuchukia mafanikio yangu. Nilizunguka kwa madaktari bingwa wa uzazi kote nchini, nikafanyiwa upasuaji mara mbili wa kusafisha mirija, lakini wapi!.
Tumbo lilibaki kuwa gumu kama jiwe. Nilihisi mume wangu naye anaanza kuchoka, maana alikuwa akishinda nje hadi usiku wa manane ili kukwepa upweke wa nyumba yetu isiyo na watoto.Soma Zaidi.

Post a Comment